Kenyans Live

Rais asema upinzani ni ngome ya viongozi wenye uovu na chuki

Description (show more)

Rais Wiliam Ruto aliendelea na ziara yake katika eneo la Nyanza, akipiga kambi katika kaunti ya Migori, ambapo aliipongeza serikali jumuishi kuwa muungano pekee wa kisiasa wenye mpango wa kulibadilisha taifa hili kuelekea kwenye kilele cha ustawi. Rais Ruto aliukashifu upinzani, akisema unashirikisha viongozi wanaoongozwa na uovu na chuki wakiwa hawana mpango wa sasa au maono ya mustakabali kwa ajili ya taifa hili. Kiongozi wa taifa aliwaambia wakazi wa Migori kwamba uchaguzi mkuu wa mwaka ujao utahusu kura ya umoja. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: