Kenyans Live

Paa la darasa la chekechea laharibika shule ya Umoja Mbuyu, Nyandarua

Description (show more)

Wazazi wa wanafunzi wa shule jumuishi ya Umoja Mbuyu katika wadi ya Leshau-Pondo, eneobunge la Ndaragwa, kaunti ya Nyandarua wanahofia usalama wa wanafunzi wa chekechea baada ya upepo mkali kupinda paa la darasa lao. Walimu waliwahamisha wanafunzi hao ambao walisalia nje siku kutwa. Wazazi hao wanaitaka serikali ya kaunti kuchukua hatua za dharura kurekebisha hali hiyo kabla ya hasara zaidi kutokea. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: