Kenyans Live

Wakenya watoa maoni kuhusu mabadiliko katika sekta ya elimu

Description (show more)

Kamati ya Bunge imeandaa kikao katika Chuo Kikuu cha Maasai Mara cha kukusanya maoni kuhusu mabadiliko katika sekta ya elimu. Wakazi wamezungumzia masuala mbalimbali, yakiwemo ufadhili wa elimu ya juu.

Share: