Kenyans Live

Rigathi Gachagua: Saa zingine naonea Kasongo huruma kwa sababu alikuwa mtu wangu

Description (show more)

Rigathi Gachagua: Saa zingine naonea Kasongo huruma kwa sababu alikuwa mtu wangu. Aligongwa na Joho na Junet na Wanga. Ameuziwa ODM ile ya zamani kumbe amenunua shell

Share: