Kenyans Live

Murkomen: Serikali itaendelea kutoa vitambulisho kwa Wakenya wa maeneo ya mpakani

Description (show more)

Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen amesisitiza serikali itaendelea kuwapa vitambulisho Wakenya wanaoishi katika maeneo ya mpakani mwa Kenya na Uganda, akisema hatua hiyo itawawezesha kupata huduma za serikali na kushiriki katika uchaguzi kwa mujibu wa sheria. Kauli hiyo inajiri huku Naibu Rais Kithure Kindiki ambaye alikuwa katika Kaunti ya Nyeri na Waziri wa Afya Aden Duale aliyekuwa Nakuru wakiendeleza kampeni ya kuwataka Wakenya kuwachagua viongozi kwa kuzingatia utendakazi wao.

Share: