Kenyans Live

Viongozi wa Kenya Kwanza na ODM waendeleza kampeni za kumuunga mkono rais Ruto

Description (show more)

Viongozi wa kenya kwanza na wenzao wa odm waliendeleza kampenzi za kumpigia debe rais william ruto kuchaguliwa kwa awamu nyingine tena. Viongozi hao waliokuwa wakizungumza kule ,bungoma, malava na garissa vile vile walitumia fursa hiyo kuwarushia vijembe wapinzani kwa kukosa tajriba ya uongozi badala yake kuendeleza siasa za chuki na ukabila.

Share: