Kenyans Live

Wakazi wa Ikutha kaunti ya Kitui walalamikia kukosa umeme kwa wiki tatu

Description (show more)

wakazi wa Ikutha, Kaunti ya Kitui walifunga barabara ya Kitui kwenda Kibwezi wakilalamikia ukosefu wa umeme katika mji huo.

Share: