Kenyans Live

Vijana Nakuru kupokea vifaa na mtaji kuwawezesha kujikimu

Description (show more)

Ongezeko la visa vya uhalifu miongoni mwa vijana katika kaunti ya Nakuru limekisiwa kuchangiwa na uhaba wa kazi na ukosefu wa mtaji wa kuanzisha biashara. Ili kukabiliana na tatizo hilo, serikali ya kaunti ya Nakuru inanuia kuchukua hatua za kuziwezesha jamii kiuchumi. Gavana wa kaunti ya Nakuru, Susan Kihika amesema vifaa vya thamani ya shilingi milioni 127 vimetolewa kwa makundi 1,257 ya vijana na wanawake kupiga jeki ujasiriamali, kubuni nafasi za ajira na kuinua maisha ya wakazi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: