Kenyans Live

Majaji wanne waruhusiwa kuendelea na kesi ya Tuju

Description (show more)

Rufaa katika Kesi inayohusu aliyekuwa waziri Raphael Tuju na kituo cha kampuni ya Dari, dhidi ya benki ya East African Development, sasa itaendelea baada ya mahakama ya upeo kutoa agizo la kuwaruhusu majaji wanne waliokuwa wamejiondoa kuendelea na kesi hiyo.

Share: