Deiter Rolf asimulia urafiki wa miongo miwili na hayati Raila Odinga
Description (show more)
Wengi Walimfahamu Hayati Raila Odinga Kama Kiongozi mashuhuri,mwenye ushawishi mkubwa na Gwiji wa Siasa za Kenya. Ila katika Kimya kilichofuata baada ya cheche za Siasa, Raila Alikuwa Mtu tofauti sana. Kwa Rafikiye wa Karibu Deiter Rolf, soka, ucheshi, Raha na Pandashuka za Maisha ndio ilikuwa taswira ya Urafiki wao. Kwa miongo miwili, alikuwa mwandani na swahiba wa dhati wa hayati Raila. Mwaka mmoja baada ya kumpoteza Rafiki yake, Deiter anasimulia urafiki huo.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:25Nyũmba cia mohoro ciũrĩtio kũheana mohoro mena ũma rĩrĩ twerekeire gĩthurano-inĩ
· 1 views
2:38Governor Kang'ata expands Murang'a Level 5 Hospital to ease congestion
· 4 views
1:24:47Kũmuramura Magathĩti #INooroRuciinĩ
· 88 views
2:11Matokeo ya ligi kuu ya soka ya wanawake nchini
2:54Baraza la wazee lapendekeza kampeni za Amani nchini
· 3 views
1:04Ngabana Wa Machakos Wavinya Ndeti nĩorĩtie akenya kũnyita mbaru Kalonzo
· 4 views
1:45
2:26Wanawake wahimizwa kupima saratani ya matiti mapema.
· 1 views
