Kenyans Live

Kaunti za Turkana na Marsabit kupokea Euro milioni 9 kwa uhifadhi wa maji

Description (show more)

Kaunti za Marsabit na Turkana zinatarajiwa kupokea ufadhili wa ziada wa Euro milioni tisa, kwa ajili ya kuimarisha uwezo wa kukabiliana na ukame na athari za mabadiliko ya tabianchi katika maeneo hayo mawili kame.

Share: