Kenyans Live

Wakulima kaunti ya Narok wahimizwa kutumia akili mnemba kuimarisha mavuno kabla ya El Niño

Description (show more)

Wataalamu wa maswala ya kilimo kutoka Bonde la Ufa wamehamasisha baadhi ya wakulima katika Kaunti ya Narok kutumia teknolojia ya Akili Mnemba (Artificial Intelligence) katika kilimo ili kuimarisha mavuno, kwa kujitayarisha kwa mvua ya El Nino inayotarajiwa.

Share: