Rais atetea ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi Lamu
Description (show more)
Rais William Ruto ametetea vikali kiwanda cha usafishaji mafuta cha Afrika Mashariki kinachotarajiwa kujengwa katika kaunti ya Lamu, akidai wapo watu fulani wanaohujumu juhudi za maendeleo za serikali wakitaka wapewe hisa kwenye kiwanda hicho, kutoa masharti yasiyostahili na kuwasilisha kesi mahakamani. Kabla ya hafla ya uwekaji jiwe la msingi la mradi huo kesho, rais amesema serikali haitaruhusu kile alichokitaja kuwa utapeli na uwakala vitatize uwekezaji akisema mradi huo umefanikishwa na juhudi zake pana za kuleta usawa wa kiuchumi na mabadiliko ya kisiasa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
1:49:23🔴LIVE || TV47 Saa Tano
23:22LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
1:33Langata residents to benefit from free medical camp organised by KMPDU SG Davji Atellah
26:16LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
1:48:28LIVE: Sports Check with Daniel Wahome II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
1:39:06Future of the opposition: Will they agree on a single candidate?
2:21
3:40