Kinara wa wiper Kalonzo Musyoka aitahadharisha IEBC kuhusu uwazi wa uchaguzi
Description (show more)
Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka ameitaka tume huru ya uchaguzi - IEBC - kuhakikisha kuwa maandalizi ya uchaguzi mkuu yanafanywa kwa uwazi ili uchaguzi ujao uwe huru na wa kuaminika. Kalonzo amesema kuwa wakenya wako macho zaidi na hawatakubali visa vya wizi wa kura. Akizamia mtafaruku kuhusu kituo cha kitaifa cha kujumlisha kura za urais, Kalonzo amesema kuwa azma ya upinzani kupinga ujumlishaji wa kura katika ukumbi wa Bomas unalenga kulinda uhalali wa matokeo yanayotangazwa katika vituo vya kura katika maeneobunge. Kalonzo alikuwa akizungumza katika hafla ya shule ya wasichana ya Mama Pauline Kalonzo.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:32
1:32Gĩkundi gĩa Sauti Yangu gũtetia wongerereku wa ũnyamarania wa atumia na arume Nanyuki
· 4 views
2:04CS Ogamba: KCSE examination security system makes photographing papers impossible
· 13 views
10:57Kamati za Bunge zajadili utekelezaji wa mkataba wa wafanyakazi wa vyuo vikuu 2025–2029
· 28 views
1:29KTDA KŨGĨA NA MŨIKARĨRI GĨTĨ MWERŨ
· 5 views
2:11Bwawa kubwa kujengwa kupanua mradi wa umwagiliaji wa Galana-Kulalu
· 12 views
3:49Silvester Orego: Omenda mag 'empowerment' ing'ado e bengi; chalo rao ma ing'ado gi lee
· 2 views
2:18Waziri wa madini Hassan Joho aonya dhidi ya siasa za chuki na uchochezi kuelekea uchaguzi wa 2027
· 32 views
