Kenyans Live

Wataalamu waonya kuhusu kuongezeka kwa magonjwa ya mtindo wa maisha

Description (show more)

Wataalamu wa afya wameonya kuhusu kuongezeka kwa magonjwa yanayohusishwa na mtindo wa maisha, wakisema msongo wa mawazo, lishe isiyofaa na mienendo isiyo bora kiafya vinaweza kuathiri viungo muhimu vya mwili.

Share: