Kenyans Live

Serikali yaimarisha mafunzo ya ufundi kuwaunganisha vijana na waajiri Magharibi mwa Kenya

Description (show more)

Serikali imechukua hatua za kusimamia mafunzo ya ufundi yanayowaunganisha vijana na waajiri baada ya wafadhili wa mradi wa Dual TVET kukamilika Desemba mwaka huu Magharibi mwa Kenya.

Share: