Kenyans Live

Ruto azindua miradi ya maendeleo Homa Bay

Description (show more)

Rais William Ruto ameendelea kujipigia debe kama mgombea bora wa urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao, akiwarai wakazi wa eneo la Nyanza kumuunga mkono.rais ruto yuko katika kaunti ya homa bay anakokamilishia ziara yake ya siku 5 katika eneo la Nyanza.

Share: