Kenyans Live

Wakazi wa Mundeku, Butere, wanakabiliwa na tatizo la funza

Description (show more)

Uvamizi wa funza umetajwa kuwa donda sugu miongoni mwa wakazi wa mundeku eneo la eshitswitswi wadi ya marama central eneo bunge la butere kaunti ya kakamega. Aidha, asilimia kubwa ya kina mama hukosa kuhudhuria kliniki kutokana na umbali wa hospitali .

Share: