Kenyans Live

Serikali yasambaza mbegu za pamba zenye thamani ya milioni 400 katika kaunti saba nchini

Description (show more)

Serikali kupitia halmashauri ya kilimo na chakula kwa ushirikiano na kampuni ya Thika Cloth Mills imewapa wakulima mbegu ya pamba yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400 katika kaunti za Embu, Tharaka Nithi, Meru, Kirinyaga, Machakos, Makueni na Kitui katika juhudi za kuimarisha sekta ya pamba nchini

Share: