Watu 47 hawajulikani waliko baada ya jumba kuporomoka Eastleigh
Description (show more)
Juhudi za kuwaokoa manusura katika jumba lililoporomoka mtaani Eastleigh zimeingia siku ya nne bila mafanikio mapya. Licha ya waokoaji kuendelea kuchimba vifusi kuwafikia watu wanaoaminika kunaswa ndani ya jumba hilo, hakuna mtu mwingine aliyepatikana leo. Familia zinazosema jamaa zao wamekwama ndani zinaeleza maumivu na hofu huku muda ukiendelea kusonga bila matumaini ya kupata wapendwa wao. Watu 47 bado hawajulikani waliko, kama Ben Kirui anavyoripoti.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:01:07Kalonzo: See You At The Ballot; ODM Irreducible Minimums To UDA || TV47 Breakfast || 02.11.2026
· 1 views
46:35From Kickbacks to inflated costs: How Bomas is being bartered for billions in secret contract
· 1 views
2:51Odera Odhiambo: Linda Mwananchi: National or Western Kenya party?
· 2 views
52:14LIVE | SIWANDHA MAR TUKE 2/11/2026
· 1 views
52:51| DAY BREAK | 2027: Terms and conditions
· 59 views
5:00Daniel Orogo: ODM is the one courting Sakaja for the Nairobi Governor ahead of 2027
· 12 views
1:32:30Kũmuramura Magathĩti (02/11/2026) #iNooroRũciinĩ
· 501 views
4:25Njeri Kahiga: No amount of party change is going to help Sakaja, he is going home!
· 24 views
