Kenyans Live

Wanachama wa UDA mlima Elgon wataka mkutano wa uhamasishaji

Description (show more)

Wafuasi wa chama cha UDA katika eneo bunge la Mlima Elgon, kaunti ya Bungoma, wameitaka bodi ya uchaguzi ya chama hicho kuandaa mkutano mwingine wa kuhamasisha wajumbe kabla ya uchaguzi wa chama unaotarajiwa kufanyika tarehe 24 mwezi huu.

Share: