Kenyans Live

Waziri Mutahi Kagwe ahimiza kuongeza uzalishaji wa viazi nchini ili kupunguza uagizaji kutoka nje

Description (show more)

Waziri wa Kilimo Mutahi Kagwe amezindua kongamano la 13 la Dunia kuhusu Viazi mjini Naivasha, akiwahimiza wawekezaji kuongeza uzalishaji wa viazi ili kupunguza kutegemea bidhaa zinazoagizwa kutoka nje.

Share: