Kenyans Live

Wawakilishi wanawake Siaya wataka kukomeshwa kwa vurugu za kisiasa

Description (show more)

Wawakilishi wanawake wa Wadi katika Kaunti ya Siaya wametoa wito kwa serikali kukomesha vitendo vya kihuni nchini, wakisema vinatishia usalama hasa wa wanawake wanaowania nyadhifa za kisiasa.

Share: