Kenyans Live

Caroline Karugu asifu matumizi ya teknolojia dijitali katika mtaala wa CBE

Description (show more)

Katibu wa idara ya maswala ya Afrika mashariki Caroline karugu ameshabikia mfumo dijitali katika mtaala wa CBE nchini, akisema unawanoa wanafunzi kupata ujuzi unaohitajika kusuluhisha matatizo ya kila siku.

Share: