Kenyans Live

Kindiki awaonya wafanyabiashara wa pombe haramu Mlima Kenya

Description (show more)

Naibu rais profesa Kithure Kindiki, amewaonya wafanyibiashara wanaowauzia pombe gushi wakazi wa mlima kenya akisema chuma chao ki motoni.

Share: