Inspekta Jenerali wa polisi apata msamaha wa mahakama
Description (show more)
Mahakama kuu ya Milimani jijini Nairobi, imemsamehe inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja, kuhusiana na hatua ya idara ya polisi ya kukosa kutii maagizo yaliyozuia kufungwa kwa barabara wakati wa ukumbusho wa mwaka 2026 wa maandamano ya Gen Z. Awali, mahakama ilikuwa imempata mkuu huyo wa polisi na hatia ya kikiuka maagizo ya mahakama, yaliyotolewa mnamo Jumatatu Julai 7, mwaka 2025, yakizuia polisi kufunga barabara bila kuarifu umma mapema. Katika uamuzi wake, jaji Patricia Nyaundi hata hivyo alionya kwamba kurudiwa kwa kosa hilo kutaisababisha mahakama kumpa mkuu huyo wa polisi hukumu ya kifungo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
3:40:33Citizen TV Live:
59:42LIVE: Lunchtime News with Ben Troy NJue II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
3:12:50LIVE: Good Morning Kenya II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
37:41🔴LIVE || TV47 News @1pm with Brian Furaha
1:53:03🔴LIVE || 90 PLUS
1:49:23🔴LIVE || TV47 Saa Tano
23:22LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
1:33