Ubabe washuhudiwa katika uzinduzi wa chama cha Linda Mwananchi
Description (show more)
Ubabe miongoni mwa viongozi wa upinzani umeshuhudiwa katika uzinduzi wa chama cha Linda Mwananchi na makao makuu yake, huku kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka akizomewa na wafuasi wa Edwin Sifuna. Kalonzo alizomewa baada ya kudai kuwa Sifuna bado hajatosha kupata taji la mgombea urais. Sifuna amesisitiza azma yake ya kukomesha ubadhirifu wa fedha za umma iwapo atachaguliwa kuongoza taifa mwaka ujao. Chama hicho kimetoa orodha ya viongozi watakaoendesha shughuli zake.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:03Broad-based leaders defend “Usawa ni Sawa” message
4:53Jakom ODM Gladys Wanga osiro ajenda mar 'Usawa ni Sawa' | #RamogiTV
4:40KTN EXCLUSIVE: Inside the 390-Page Bomas Contract as Project Cost Hits KSh41.9 Billion
· 34 views
4:19Kalonzo rejects joining the Kenya Kwanza administration
· 4 views
4:11Rescue operation at collapsed Eastleigh building enters its tenth day
· 16 views
24:52Earthwise | Exploring Kenya's new livestock microchip tag and real-time national database
· 104 views
2:34University ya Embu gwĩkĩrĩra gũkũria kĩgĩna gĩa gũteithia arutwo arĩa matehotete
· 16 views
31:02CITIZEN NIPASHE WIKENDI ~ 1ST NOV , 2026
· 16.5K views
