Kenyans Live

Wazalishaji wa maziwa waonya wafanyabiashara dhidi ya kupandisha bei

Description (show more)

Muungano wa wazalishaji wa maziwa umewaonya wafanyabiashara dhidi ya kupandisha bei ya maziwa wakati huu wa upungufu.

Share: