Kenyans Live

Sudan Kusini na Kenya zaweka jiwe la msingi kwa ujenzi wa kituo cha mizigo cha ndani

Description (show more)

Serikali za Sudan Kusini na Kenya zimeweka jiwe la msingi kwa pamoja kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Mizigo cha Ndani (Inland Container Depot) mjini Naivasha, kituo kinachotarajiwa kusaidia kupunguza msongamano katika Bandari ya Mombasa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Share:

Related Videos

More from NTV Kenya