Kenyans Live

Chuo kikuu cha Eldoret chaanzisha uchunguzi dhidi ya mhadhiri

Description (show more)

Usimamizi wa Chuo kikuu cha Eldoret katika ya Uasin Gishu, umekashifu vikali matamshi yaliyoibuliwa na mhadhiri mmoja wa chuo hicho kupitia video inayosambaa mitandaoni na kuibua gumzo. Mhadhiri huyo alinaswa kwenye video akiwaeleza wanafunzi wasiokuwa wa eneo la Uasin Gishu wasirejee katika Chuo hicho iwapo rais william ruto hatachaguliwa kwa muhula wa pili. Chuo hicho kinasema kimeanzisha uchunguzi, na kuahidi kumchukulia hatua za kinidhamu mhadhiri huyo.

Share: