Kenyans Live

Wanafunzi wa Moi wamtaka Rais Ruto kuingilia kati mgomo wa wahadhiri ulioingia wiki ya nne

Description (show more)

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Moi jijini Eldoret, wametoa wito kwa rais William Ruto, kuvunja kimya chake kuhusiana na mgomo wa wahadhiri ulioingia wiki ya nne. Kulingana nao elimu yao imeathirika pakubwa na pana haja ya matakwa ya wahadhiri kushughulikiwa na elimu kurejelewa vyuoni.

Share: