Kenyans Live

Serikali yaanzisha jopo la kusimamia vita dhidi ya pombe haramu

Description (show more)

Serikali imebuni jopo la usimamizi linalowajumuisha wadau wote katika vita dhidi ya utengenezaji, usambazaji, uuzaji na unywaji wa pombe haramu .

Share: