Kenyans Live

Maandalizi ya sherehe za Mashujaa yakamilika katika uga wa Kipchoge Keino Eldoret

Description (show more)

Maandalizi ya sherehe ya Mashujaa dei yamekamilika katika uga wa Michezo wa Kipchoge Keino jijini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu. Sherehe hizo zinatarajiwa kuongozwa na rais William Ruto, katika uga huo hapo kesho. Kwa sasa tunaungana na Mwanahabari wetu Bonface Barasa kutuchorea taswira kamili.

Share: