Kenyans Live

Meneja wa benki apatikana na hatia ya jaribio la mauaji Mombasa

Description (show more)

‎Mahakama ya mombasa imempata na hatia meneja wa benki moja jijini humo na kosa la jaribio la mauaji dhidi ya mpenzi wake wa zamani kwa kumshambulia na kumuacha na majeraha mabaya.

Share: