Kenyans Live

Mwanamume akamatwa Siaya kwa tuhuma za kuwaua mwajiri wake na mkewe

Description (show more)

Polisi katika kaunti ya Siaya wanamzuilia mwanamume anayehusishwa na mauaji ya mwajiri wake na mkewe katika matukio tofauti, kabla ya kuwazika ndani ya nyumba. Dennis Okoth alikamatwa baada ya kutorokea Kakamega akiwa na mwanawe mchanga. Ode Francis anaripoti.

Share: