Kenyans Live

Wakazi wa Rongai wafunga barabara ya Gataka wakitaka ikamilishwe

Description (show more)

Wakazi wa Ongata Rongai wanaoishi katika barabara ya Gataka wamefunga barabara kulalamikia hali yake mbovu na kutokamilika, miaka baada ya kuzinduliwa na Rais William Ruto. Wakazi wakisema kuwa hali ya barabara hiyo imeendelea kuwatatiza na hata kusababisha maafa, wakitaka mkandarasi kukamilisha ujenzi wake. Ode Francis alikuwa Rongai alikotuandalia taarifa ifuatayo.

Share: