Rais azindua miradi mbalimbali ya maendeleo Ukambani
Description (show more)
Rais William Ruto ameanza ziara yake ya siku nne ya kimaendeleo katika eneo la Ukambani ili kuimarisha mpango wa serikali wa muundo msingi katika eneo hilo. Kiongozi wa taifa alizindua miradi ya thamani ya mabilioni ya pesa katika kaunti za Machakos na Makueni ikiwemo miradi ya maji ya Mwala, barabara na makazi ya wanafunzi. Rais alichukua fursa hiyo kumshawishi kinara wa chama cha Wiper Patriotic Front Kalonzo Musyoka kujiunga na serikali jumuishi kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Mwanahabari wetu Giverson Maina anatuarifu zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
23:56🔴LIVE || TV47 News @ 1 P.M With Martin Githinji
34:38LIVE:Lunchtime News with Giverson Maina II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
1:24:28LIVE: Sunday Service from All Saints Cathedral II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
1:44:23Jubilee presidential hopeful Fred Matiang'i outlines his road to State House
49:45SUNDAY LIVE | IN THE HOUSE OF DCP | PART 2
4:12LIVE: Sunday Express II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
4:44Rivers in Athi basin bear brunt of pollution asindustrial waste is discharged into rivers
2:17