Kenyans Live

Wakazi wa zamani wa Buxton walilia haki wakidai kupewa makazi jinsi walivyoahidiwa

Description (show more)

Wakazi wa zamani wa makazi ya Buxton katika kaunti ya Mombasa wamewasilisha malalamishi yao kwa Seneti, ambayo wiki hii inafanya vikao vyake katika Bunge la Kaunti ya Kilifi chini ya mpango wa Seneti Mashinani. Walalamishi hao wanataka maseneta kuingilia kati tena katika suala la kupata kile wamekitaja kama haki yao ya kupata makazi hayo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Share:

Related Videos

More from NTV Kenya