Kenyans Live

Wafanyakazi Chemelil kaunti ya Kisumu waandamana kudai Sh2.7 bilioni za mishahara na marupurupu

Description (show more)

Wafanyakazi kutoka kiwanda cha sukari ya Chemelil walifanya maandamano kaunti ya Kisumu ili kuishinikiza serikali kuwalipa deni la mishahara na maruprupu ya kima cha shilingi bilioni 2.7.

Share: