Kenyans Live

Wakazi Taita Taveta wafurahia kupokea hati miliki 31,000

Description (show more)

Wakazi wa Kaunti ya Taita Taveta wameelezea furaha baada ya kupokea hati miliki 31,000 kutoka kwa serikali. Wakazi hao wamesema hatua hiyo imesaidia kupata suluhu ya changamoto ya umiliki wa ardhi kwa waskwota katika eneo hilo.

Share: