Kenyans Live

Mama na familia yake katika kaunti ya Taita Taveta waokolewa kutoka pangoni baada ya miezi mitatu

Description (show more)

Ni afueni kwa mama mmoja eneo bunge la Mwatate kaunti ya Taita Taveta baada ya jamii na viongozi wa eneo hilo kumnusuru kutoka kwa pango alimokua akiishi na familia yake kwa zaidi ya miezi mitatu.

Share: