Kenyans Live

Ruto azindua mnara wa kumbukumbu wa marehemu Raila Odinga

Description (show more)

Rais William Ruto amezindua rasmi mnara wa kumbukumbu wa marehemu Raila Odinga, katika hafla maalum iliyohudhuriwa na familia na baadhi ya viongozi wa kisiasa. Rais Ruto alisema kuwa mnara huo utahifadhi sio tu historia ya kisiasa ya Raila bali pia kutoa mafunzo kuhusu demokrasia na maudhui mengine aliyosimamia Raila Odinga. Na kama anavyoarifu Laura Otieno mnara huo umeundwa na umbo lenye pembe tano linalowiana na kundi la pentagon ambalo Raila aliunda mwaka 2007.

Share: