Kenyans Live

DCI yachunguza madai ya mgonjwa kuvunjika miguu mara tatu katika hospitali ya Khunyangu huko Busia

Description (show more)

Idara ya uchunguzi wa makosa ya jinai DCI katika eneo bunge la Butula kaunti ya Busia inafanya uchunguzi kuhusu madai ya mgonjwa mmoja kuvunjika miguu yake mara tatu katika hospitali ya kaunti ndogo ya Khunyangu kutokana na makosa ya muhudumu aliyekua akimhudimia.

Share: