Kenyans Live

Matibabu ya bure Kwale

Description (show more)

Wakazi zaidi ya 2,000 wamepata matibabu bila malipo katika kambi ya matibabu iliyoandaliwa kwa ushirikiano wa serikali ya kaunti ya Kwale na shirika la Mission Relief katika hospitali ya Kaunti ndogo ya Kwale.

Share: