Kenyans Live

Wafanyabiashara wadogo Ganda kaunti ya Kilifi wataka serikali kuwapa msaada kukuza biashara zao

Description (show more)

Wafanyabiashara wadogo wadogo kutoka wadi ya Ganda kaunti Kilifi wameitaka serikali ya kaunti na ya kitaifa kuwapiga jeki kibiashara.

Share: