Kenyans Live

Wahudumu bodaboda Bangale Tana River watakiwa kuzingatia sheria za trafiki ili kupunguza ajali

Description (show more)

Wahudumu wa bodaboda kutoka eneo la Bangale huko Tana River wametakiwa kuzingatia sheria za trafiki ili kupunguza visa vya ajali za barabarani katika eneo hilo.

Share: