Kenyans Live

Rais Ruto aendelea na ziara Nyanza, awasuta wanasiasa wanaonuia kuzua rabsha

Description (show more)

Rais William Ruto ameonya kwamba Kenya haina nafasi ya viongozi wananuia kuzua vurugu na kutatiza uthabiti ili kutimiza maslahi ya kibinafsi ya kisiasa. Akizungumza katika siku ya pili ya ziara yake ya eneo la  Nyanza, rais alisema utawala wake unaangazia kuhakikisha Kenya imesalia kuwa nchi yenye amani na umoja. Rais vile vile alikosoa upinzani kwa kile alichokitaja kuwa kukosa mkakati na kutokuwa na maslahi bora kwa taifa hili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: