Kenyans Live

Waziri Ogamba asema mitihani ya kitaifa yaendelea vizuri licha ya changamoto za mvua na afya

Description (show more)

Waziri wa elimu Julius Ogamba anasema usimamizi wa tathmini na mitihani ya kitaifa katika kipindi cha wiki hii umeendelea kwa mafanikio katika maeneo mengi nchini, licha ya changamoto chache zilizojitokeza. baadhi ya changamoto hizo ni mvua kubwa katika baadhi ya maeneo na wanafunzi wanaohitaji huduma za matibabu wakati wa kufanya mitihani.

Share: