Kenyans Live

Makundi ya wajane Nandi yapewa vifaranga vya kuku

Description (show more)

Makundi ya wajane katika Kaunti ya Nandi yamepewa vifaranga vya kuku walio boreshwa ili kuwawezesha kuanzisha na kukuza miradi ya ufugaji.

Share: