Kenyans Live

Wanawake wa eneo la Majengo kaunti ya Tana River waandamana kulalamikia ukosefu wa huduma za uzazi

Description (show more)

Wanawake wa eneo la Majengo, kaunti ya Tana River, wameandamana kulalamikia ukosefu wa huduma za uzazi katika zahanati ya Majengo.

Share: